pakua fomu ya usajili hapa
TUI ACADEMY ZANZIBAR – WE EMPOWER YOUTH THROUGH EDUCATION
Kuwa mtaalam wa utalii na huduma kwa wageni/hotelia
Kozi ya huduma kwa wageni, Hotelia, Utalii na Stadi za Ujasiriamali
Huanza:
8 Januari 2024
Muda:
Nadharia ya miezi 15 na vitendo siku 5/wiki, 9am-4.30pm
Ada:
1.500.000 TSH + Sare 75.000
Inaweza kulipwa kwa awamu (awamu ya kwanza 500.000) . Wanafunzi wanaweza kulipa sehemu ya ada kwa kufanya kazi kwa Kawa na kuna mikopo ya wanafunzi inayopatikana (soma sasa, lipa baadaye).
Vigezo:
Umri wa miaka 18-30
Mahojiano ya kuingia,
Kiingereza kiwango cha msingi,
Idhini ya wazazi/walezi
Kitambulisho cha Mzanzibari Kinahitajika
Contact: 0777957995 | Kiponda street | mo-fri | 9am-5pm | info@kawatrainingcenter.com
Habari ya kozi
Kipindi cha kwanza: Msingi
Masomo:
Kiingereza, ujuzi wa kompyuta, hisabati, mazingira, ujasiriamali, ukuzaji wa taaluma, ujuzi wa jumla wa ulimwengu, maadili ya kazi, kujitambua
Kipindi cha pili: Matayarisho
Masomo:
Kiingereza, ujuzi wa kompyuta, Ukuzaji wa Kazi, huduma bora, Utangulizi wa masomo ya huduna kwa wageni, Utangulizi wa masomo ya utalii.
Kipindi cha tatu na nne: Huduma kwa wageni na Hotelia
Masomo:
Kiingereza, ustadi wa kompyuta, Ukuzaji wa Kazi, Utunzaji wa nyumba, Huduma ya Chakula na Vinywaji, Maarifa ya chakula na upishi + uwekaji
Kipindi cha tatu na nne: Kozi maalum Utalii
Masomo:
Kiingereza, ujuzi wa kompyuta, Ukuzaji wa Kazi, Utalii endelevu, Utalii wa Kitamaduni, Utangazaji wa ustadi wa biashara, , Historia, Ujuzi wa utafiti, Flora na Fauna (miti na wanyama), Maisha ya baharini, Ustadi wa uwasilishaji, mazoezi ya mwongozo wa watalii + Maeneo.
Kipindi cha tanu: Mafunzo ya ndani